JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nafikiria ku crash nikiona kimya, haiwezekani tuwasindikize hadi mwisho ...watukalie kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana sikuwa na dhamira hiyo lakini hii ndio party iliyopo kuanzia jana sio mbaya tukifanya collaboration ya double celebration Eid na send-off kwa pamoja. [emoji91]
 
Huwezi kushinda na usingizi ukija unalala mwenye acha na hii kitu unaweza lala hata kichakani ukiwa unakudai tu.

Nimewahi pata ajali mwaka jana kwaajali ya kusinzia ilinicost sana, so nawajibika kuendelea kuona usingizi ni adui kwangu, dah ile ajali sema Mungu ananilinda sana, simuachi Mungu aiseeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom