Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Ataishia kula kwa harufu tu
Asubirie Pilau, mabiriani nk.. Kesho hiyo
Asubirie Pilau, mabiriani nk.. Kesho hiyo
Ipo poa sanaKatika series zangu 5 bora siwezi acha kuiweka hii blacklist [emoji91]
No niliacha kuangalia ilipofika season 4,so nimeanza na five now nipo episode ya tisa, season 7 bado.
YessssInategemea....maana naamini kuna wengine bado wanakula futari saa hii....
[emoji23][emoji23][emoji23] Anaweza kula hata kwa jirani tu ambao watapika kwajili ya send-off ya corona.Ataishia kula kwa harufu tu
Hile ajaliSafi kama bado unaendelea kumtumikia Mungu ndio kitu kizuri.
Double R msumbufuIpo poa sana
Hakuna mwingine
Ushapata fundisho huwezi fanya tena uzembe kama huo.
Jamaa yuko tayari kufanya lolote lile ili tu mambo yake yaende vizuriDouble R msumbufu
[emoji23][emoji23] We mbona uko hapa sasa?
Ndio tunatakiwa kuishi hivyo ujue kufanya lolote liwezekanalo kila kitu kikae sawa anaakili sana mjinga yule anaweza kucheza na akili za watu [emoji91]Jamaa yuko tayari kufanya lolote lile ili tu mambo yake yaende vizuri
Kijiwe cha Kawawa hapa [emoji23]kwani hapa wapi?
Dah kutoka kwenye ile ajali ni Mungu aliweka mkono wakeSafi kama bado unaendelea kumtumikia Mungu ndio kitu kizuri.
[emoji38] [emoji38] Tatizo unabadilisha sanaa id naona umerudi na hiiNaukataa ukongwe bana.
Mimi wa juzi tu, nimenunua account...
Hujawahi kulitoa hilo tukio tena usingizi labda maana mm misukosuko kama hiyo huwa lazima niiyote ikinitokea yani nakuwa nawenge tu kichwani.
Unataka movie ipi sasa? Tuanzie hapo kwanza...