Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,374
Dah imekula kwangu liveFutari imeliwa saa 12 hapo leo hakuna.
Dah imekula kwangu liveFutari imeliwa saa 12 hapo leo hakuna.
Safi kama bado unaendelea kumtumikia Mungu ndio kitu kizuri.Nimewahishapata mwaka jana kwaajali ya kusinzia ilinicost sana, so nawajibika kuendelea kuona usingizi ni adui kwangu, dah ile ajali sema Mungu ananilinda sana, simuachi Mungu aiseeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nije PM tuyajenge Mzee mwenzanguInategemea....maana naamini kuna wengine bado wanakula futari saa hii....
Naukataa ukongwe bana.Nipoooooo kipenzi, nimekuona nimeshangaa, mkongwe mwenzangu humu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ww ni Gemini pia? Hiyo dark mode ya web sijavutiwa nayo kabisa.Naserereka na mwonekano mpya wa JF (dark mode) niko hapa till dawn.
Ngoja nije PM tuyajenge Mzee mwenzangu
Pole sana subira Jumanne wakifunga 6 utakula.Dah imekula kwangu live
Namalizia maombi hapa Upendo Radio, tukutane hukoUje na Sadaka.
Na sio 7??The blacklist season 5
Haina noumaPole sana subira Jumanne wakifunga 6 utakula.
Katika series zangu 5 bora siwezi acha kuiweka hii blacklist [emoji91]The blacklist season 5
Akikumbuka sasaPole sana subira Jumanne wakifunga 6 utakula.
[emoji23][emoji23] We mbona uko hapa sasa?laleni
Namalizia maombi hapa Upendo Radio, tukutane huko
Asubirie Pilau, mabiriani nk.. Kesho hiyoAkikumbuka sasa
Kishua zaidiNaserereka na mwonekano mpya wa JF (dark mode) niko hapa till dawn.
No niliacha kuangalia ilipofika season 4,so nimeanza na five now nipo episode ya tisa, season 7 bado.Na sio 7??