Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Niko poa sana....Hey.., uko poa we mwanamke?
Twende wote Z.....Ngoja nikulinde leo.
Niko gud..Niko poa sana....
Za kwako?
Niaje?
Poa sana
Twende zetu wife.Twende wote Z.....
😊😊😊Twende zetu wife.
🤭🤭🤭Wale wa Islamic wote waliokuwa wanakula daku kila siku humu mbona leo siwaoni wakija wakitoa hata mialiko [emoji23][emoji23] jamaa ni wachoyo sana hawa [emoji119]
Au ww umeshaalikwa?[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Au ww umeshaalikwa?
Hapa ni bila bila wacha tushereke send-off ya corona tu [emoji23][emoji23][emoji23]Bado nasubiria....mpaka Jumatatu na hakika tutapata mialiko
Hapa ni bila bila wacha tushereke send-off ya corona tu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana sikuwa na dhamira hiyo lakini hii ndio party iliyopo kuanzia jana sio mbaya tukifanya collaboration ya double celebration Eid na send-off kwa pamoja. [emoji91]Chizi wewee...umenifanya nimepaliwa mate