Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,712
- 208,961
Hapana chezea daku weweAf siku nyingi sikuoni. Wewe lindo lako night kali na mimi nimekaa macho hadi saa hii kwa bahti mbaya. Kweli daku si mchezo
Kijana lala unenepe
Hapana chezea daku weweAf siku nyingi sikuoni. Wewe lindo lako night kali na mimi nimekaa macho hadi saa hii kwa bahti mbaya. Kweli daku si mchezo
Lala tu usiwaendekeze hawa mboga 7 wa wawili acha wabaki peke yao tu.[emoji106]
Yaani hapa ungeniona ungecheka asee. Nalala niongeze weight kiasiHapana chezea daku wewe
Kijana lala unenepe
Dogo kuaga aga mara nyingi ndo nn..jikatae [emoji23]Lala tu usiwaendekeze hawa mboga 7 wa wawili acha wabaki peke yao tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] unawazimu ww tulia nitakunyoosha sio leo.Lala kesho zamu yako kupika kuanzia breakfast mpaka dinner usisahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walinzi wamepungua sku hiziWacha tu nivumilie ndo inaniweka mjini
Twende tukalale zetuLala tu usiwaendekeze hawa mboga 7 wa wawili acha wabaki peke yao tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Acheni kuni QUOTE basi.Dogo kuaga aga mara nyingi ndo nn..jikatae [emoji23]
[emoji38][emoji38]Niache ww [emoji23][emoji23]
KabisaWalinzi wamepungua sku hizi
Bonus na tips lazma ziongezeke
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] unawazimu ww tulia nitakunyoosha sio leo.
Twende zetu tu bibie jamani simiss na Goddess msiponiona kuanzia kesho au keshokutwa, week au mwezi nimeondoka na chiqutitta yy ndio atajua wapi nilipo.Twende tukalale zetu
Mm najua nisipokuona utakua ukonga unanyea debeTwende zetu tu bibie jamani simiss na Goddess msiponiona kuanzia kesho au keshokutwa, week au mwezi nimeondoka na chiqutitta yy ndio atajua wapi nilipo.
Me nikilala sana weight inapungua 😀Yaani hapa ungeniona ungecheka asee. Nalala niongeze weight kiasi
Mtu mzima hatafutwiTwende zetu tu bibie jamani simiss na Goddess msiponiona kuanzia kesho au keshokutwa, week au mwezi nimeondoka na chiqutitta yy ndio atajua wapi nilipo.