fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
@Depal anajifananisha na yna2 wakati ye bado m-bichii
Ila wewe huna uzee aisee, unaonekana bado kijana kabisa
ᵃʳᵉᵉᵐ
![]()


Sent using Jamii Forums mobile app
@Depal anajifananisha na yna2 wakati ye bado m-bichii
Ila wewe huna uzee aisee, unaonekana bado kijana kabisa
ᵃʳᵉᵉᵐ
![]()


Nyoosha miguu, kirungu kiunoni macho mita mia kutakucha tu mkuu![]()
![]()
Ngoja niwe na subira...
Mbichi Yna
Wote inaonekana bado wabichi!





ᵃʳᵉᵉᵐ 
Yaani wewe ndio bado mbichi kama tembele lilochumwa sahiv, ndio kwanza utomvu unadondokaMbichi Yna
Me nishakauka



ᵃʳᵉᵉᵐ 
Mie kizee..soon natembelea fimboWote inaonekana bado wabichi!
ᵃʳᵉᵉᵐ
![]()
Ila usingizi wa muda huu huwa mtamu sana, nusu macho nusu ndotoni, sijui hata ikawaje nimeamka.
Kuna watu wanasema wabichi, wataiva mwezi wa ngap niweke order kabisaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati hata quarante (40) hujafika, ukikunjwa bado unakunjika kama migebuka






ᵃʳᵉᵉᵐ 
Kama nakuona vile unavyoita haha.Mbichi Yna
Me nishakauka



Corona ikiisha tu hapo!Kuna watu wanasema wabichi, wataiva mwezi wa ngap niweke order kabisaa?
Sent using Jamii Forums mobile app




ᵃʳᵉᵉᵐ 