Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,958
Mbwembwe kivipi sijaelewa ?Jitume kidogo, una kila sababu ukiondoa hizo mbwembwe binafsi.
Kesho ni mothers day kweli?Hahaha hiyo nimeweka leo ni ya sweet mother kwa ajili ya kesho Mother's day
zingine nawekaga tuh bila kudedicate kwa mtu yeyote ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Mkuu huwa inakuwa jumapili ya pili ya mwezi May ndo maana tarehe hubadilika ..Kesho ni mothers day kweli?
Okay nmekusomaSi unajua zile za kisistaduu, kwamba hadi niwe na hiki niwe na vile ndo niwe mama... ukishakuwa na uhakika wa maziwa tu na njia ya kumleta mwana umekidhi vigezo.
Umetisha mkuuIna maana mama D ana gonga "likes" kama yule binti chiqutitta hawa nawatafutia zawadi.
Kula like yangu wewe mmama.Umetisha mkuu
Nilikuwa sijui. Thanks mdadaNdio Mkuu huwa inakuwa jumapili ya pili ya mwezi May ndo maana tarehe hubadilika ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri.. how is wewe 😊