Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,829
- 40,372
Umepotea sana wewe mwanadada ulikuwa unalea niniNa mie Leo nimo.
Tujuane tujuane.
Umepotea sana wewe mwanadada ulikuwa unalea niniNa mie Leo nimo.
Tujuane tujuane.
![]()
![]()
![]()
Tuvumiliane tu mkuu maana kuna mambo mengi; stress, mwezi mchanga, akili kupwa na kujaa nk nk. Ila tunajitahidi kadri tuwezavyo kuwa watu wazuri.
Hapana.Umepotea sana wewe mwanadada ulikuwa unalea nini
Hahaha hiyo nimeweka leo ni ya sweet mother kwa ajili ya kesho Mother's dayYoyote nzuri, nimeanza na hiyo link umeweka hapo juu... na zote zingine.
😂 😂 😂 😂 😂 😂Umenikumbusha kitu, fanya kama tupo jukwaa lile... ni nini uhusiano wa matatizo ya akili na mwezi.?
Utasikia mwezi mchanga sijui mwezi mpevu, akili kama zinakuja mara zinakataa..!!
Hahaha hiyo nimeweka leo ni ya sweet mother kwa ajili ya kesho Mother's day
zingine nawekaga tuh bila kudedicate kwa mtu yeyote ....
Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo hivyo MkuuMasikini mimi wala sijaifungua, si kuumbuka huku... basi tuchat.![]()
Lindo ni lako pia12:26
Mkuwe na lindo lenye amani.
Bado kwa sasaWewe sio Mother.?
Nataka nianze kwa pongezi on Mother’s Day.