Ndo manane yenyewesaa ngapi sasa iv...?
Hahaha
Ngoja nijaribu kulala
Mwenyewe nalinda usalama mkuu..
Ulale sio ujaribu.... Tunaotakiwa kuwa macho mida hii ni sisi na kina "the bold"... Si kwa nia mbaya ila ni kwa sababu za kiusalama tu...!!
Kumbe na wewe ni kwenye kazi za usiku kama mimi......Mwenyewe nalinda usalama mkuu..
Ngoja nijaribu tuu kusinzia
Geast*Mimi kunguni wamepoteza usingizi wa uchovu wa safari
Maeneo ya kariakoo JB gest
Ni Usiku wa matisa na dkk 18saa ngapi sasa iv...?
Geast ? Gest ?guest ?? Usijari tumeelewa na siku nyingine lala hotelini achana na guest....Geast*