Hujalala tuu
usingizi umekata ghaflaHujalala tuu
Hata mimi sina usingizusingizi umekata ghafla
Duh huu uzi tumeutekeleza muda mrefuPoopoooooz!!!!!
Nasoma huku najisizilishaHapa tokea niamke saa saba kumkojolesha mtoto , usingizi umekata kabisa. Nimesoma thread karibia zote hadi marudio.
Yani umetelekezwa kitambo kweli, kama hamna mapopo vileDuh huu uzi tumeutekeleza muda mrefu

Kumbe wamejaa teleYani umetelekezwa kitambo kweli, kama hamna mapopo vile![]()
Si unaona wanaanza kufurika taratiibu.Kumbe wamejaa tele