Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Huwa siamini pesa kuwa inamaliza kila kituWengine tuna mbwelambwela night
umasikin huu duu wakuu tutafute pesa mingi tuinjoy life

Huwa siamini pesa kuwa inamaliza kila kituWengine tuna mbwelambwela night
umasikin huu duu wakuu tutafute pesa mingi tuinjoy life

Ahhhh hizo mbishe umenifundisha mwenyeww mzee.. af mm nkicharaza hilo bango ntakuwa emotionalBango lako hutaki kuniwekea alafu unataka mm ndio nicharaze languusilete mind game ujue!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha sana ujueAhhhh hizo mbishe umenifundisha mwenyeww mzee.. af mm nkicharaza hilo bango ntakuwa emotional
Yaap true that but inapunguza kiaina ni kama ka kilainishi flani iv 🤔🤔🤔Huwa siamini pesa kuwa inamaliza kila kitu![]()
Mwanzo alikuwa naniWeylyn usibadili tena username
kweli huna vitu baadhi unapunguza.Yaap true that but inapunguza kiaina ni kama ka kilainishi flani iv 🤔🤔🤔
Ufukara haununui kitu mzee. Bila pesa maisha yanakuwa hayana taste sanaHuwa siamini pesa kuwa inamaliza kila kitu![]()
kuna Mungu na ndio maana kaleta kitu kinaitwa shida huwa haiangalii kuwa kama unapesa au huna ni mateso yaleyale kwa kila mtu.Ufukara haununui kitu mzee. Bila pesa maisha yanakuwa hayana taste sana
Kauli kaa hizi useme ukiwa una pesa.. kama huna hata hela ya kununua andazi unaeza jiuakuna Mungu na ndio maana kaleta kitu kinaitwa shida huwa haiangalii kuwa kama unapesa au huna ni mateso yaleyale kwa kila mtu.
Unaujua ule msemo unaosema shida haina mwenyewe?Kauli kaa hizi useme ukiwa una pesa.. kama huna hata hela ya kununua andazi unaeza jiua
Karibu mzee
True ngoja nilaze hii kichwa
Alaaa! Anafunda na hii mvua
?😂😂😂
Poa kesho nitakupa update ya upuuzi wangu.True ngoja nilaze hii kichwa
Pamoja budaaaPoa kesho nitakupa update ya upuuzi wangu.