simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Siku ukimiss mtu/kitu hadi ukahisi vinyweleo vinasisimka af day ukajikuta upo fine..utajiita simissKwani jina halihusiani na product [emoji16] jina si product hilo mzee
Siku ukimiss mtu/kitu hadi ukahisi vinyweleo vinasisimka af day ukajikuta upo fine..utajiita simissKwani jina halihusiani na product [emoji16] jina si product hilo mzee
Dah muda leo unakimbia hivi [emoji15]0100
Naona mzee umekunja ndita.. assasin upo lindoni.. niaje mkuu0100
[emoji23][emoji23][emoji23] Badili hili jina mzee unatakiwa umiss vitu na sio kuvikataa kwa kusema hujamiss.Siku ukimiss mtu/kitu hadi ukahisi vinyweleo vinasisimka af day ukajikuta upo fine..utajiita simiss
Sanaaaaa aisee kumi na mbil na ichek kwa mbaliiiiDah muda leo unakimbia hivi [emoji15]
Kabisa boy.Sanaaaaa aisee kumi na mbil na ichek kwa mbaliiii
Sasa kama sijavimiss mzee.. vingine bora kuvikataa usije kujipa presha tu[emoji23][emoji23][emoji23] Badili hili jina mzee unatakiwa umiss vitu na sio kuvikataa kwa kusema hujamiss.
Itabidi huu mkasa ukauchapishe kule itapendeza sana [emoji16]Sasa kama sijavimiss mzee.. vingine bora kuvikataa usije kujipa presha tu
Safi mjuba mungu mkubwa Leo mda unaenda kwa kasi ya light's speed 🚀🚀🚀Naona mzee umekunja ndita.. assasin upo lindoni.. niaje mkuu
Kama unaeza rudi nyuma siku ya kwanza nafika humu mbona utaelewa [emoji4]Itabidi huu mkasa ukauchapishe kule itapendeza sana [emoji16]
True mzee.. japo leo weekend, walinzi wamesahau majukumuSafi mjuba mungu mkubwa Leo mda unaenda kwa kasi ya light's speed [emoji573][emoji573][emoji573]
Noma kwel mkuu Kuna kazi ukiwa unafanya inabidi ujifanye mwehu tu maana hamna namnaTrue mzee.. japo leo weekend, walinzi wamesahau majukumu
Dah hiyo May 25 [emoji17] haya ulijiunga May 25 2015 unajua muda huo nilikuwa nafanya upuuzi gani? nirudi mpaka huko hii sio fair mzee.Kama unaeza rudi nyuma siku ya kwanza nafika humu mbona utaelewa [emoji4]
Kitambo kweli.Rowin, chiqutitta nmewamiss mno na mpo kimya sana
Watu wanajenga familia huko [emoji23]Noma kwel mkuu Kuna kazi ukiwa unafanya inabidi ujifanye mwehu tu maana hamna namna
Siku ya kwanza kuingia hii thread ya usiku wa manane.. af vipi kwani.. 2015 ulikuwa unafanya upuuzi gani [emoji23]Dah hiyo May 25 [emoji17] haya ulijiunga May 25 2015 unajua muda huo nilikuwa nafanya upuuzi gani? nirudi mpaka huko hii sio fair mzee.
True mzee.. kazi zingine majanga ila watu hawana namnaNoma kwel mkuu Kuna kazi ukiwa unafanya inabidi ujifanye mwehu tu maana hamna namna
Bango lako hutaki kuniwekea alafu unataka mm ndio nicharaze langu [emoji23][emoji23][emoji23] usilete mind game ujue!Siku ya kwanza kuingia hii thread ya usiku wa manane.. af vipi kwani.. 2015 ulikuwa unafanya upuuzi gani [emoji23]
😂😂😂Wengine tuna mbwelambwela night 😁😁😁umasikin huu duu wakuu tutafute pesa mingi tuinjoy lifeWatu wanajenga familia huko [emoji23]