JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

nilipoona heading inasomeka "Jamiiforums usiku wa manane" nikaogopa, siunajua unaposikia neno usiku wa manane unahusisha hili neno na imani za kishirikina.

vipi wachawi wenzangu kwanini tusiiroge corona ihamie huko bara la antantika?
 
Nimecheka kifala yaaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..wewe sio wa kunifanyia hivi.. kwa hiyo umeoanisha vitu sio ..ipo siku yako
[emoji23][emoji23] Hiyo siku hakuna mzee wangu sahau
 
Back
Top Bottom