Ketamine
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 824
- 788
Kahumba ,chipukizi ,mango , hizo bado zipo
Tuko vizuri yaani ni mwendo TAHADHARI NA SALA KWA WINGI
Karibuni lindoni
Ikifika saa6 mniite nyie kamati ya roho mbayaInaonekana wadau ni wengi Super Villain njoo utie ufafanuzi tafadhali
Tupia hapa hii nyimbo nimdedicatie shemeji yako
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Inaonekana wadau ni wengi Super Villain njoo utie ufafanuzi tafadhali


Nitafafanua mpaka dawa za corona zikifika bongo ngoja zile nchi 8 zijaribu kwanza zikifanya kazi vizuri nitatoa maelezo.It's so simpo kata..
Punguza huo mzigo wa mawazo uliopo kichwani.
Wapi hapo

Alafu upuuzi ni nn mpaka leo sijamaliza hiyo series lakini kesho nitaifagia yote asubuhi.The 100 nimecheki kama episode 5. Iko poa. Ila napenda zaidi zile harakati za porini kuliko town. Nitajitahidi kuangalia hadi mwisho Super Villain
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kalambwanda plate #A
