Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 5,666
- 11,124
ehhh babaa (in chugan voice
ehhh babaa (in chugan voice
Leo nimeachiwa lindo dahh toka 6:00Nyie watu mmeona nikilala nitafaidi sana sio, yaani hata sielewi usingizi umekimbilia wapi ghafla.
Ngoja tusindikize lindo la leo liishe..ila siku hizi nimekuwa mtoro lindoni.Leo nimeachiwa lindo dahh toka 6:00
🍺🍺🍺🍺🍺Ngoja tusindikize lindo la leo liishe..ila siku hizi nimekuwa mtoro lindoni.
Bila kusahau fegi, lindo linaenda kilaini kabisa.🍺🍺🍺🍺🍺
Usisahau mkulu anaomba siku zako 3 tu za kyfunga na kuombaBila kusahau fegi, lindo linaenda kilaini kabisa.
😀 😀 😀 😀
🍻😀 😀 😀 😀
Pamoja mkuu, ngoja mimi nindelee na majirani hapa.
Kakinge maji mkuu..😀😀😀😀0400 na kamvua kanakolea
Sent from my SM-G988 using Tapatalk
Hapana
Naona hali sio shwari hadi namba moja anasema hivyo, sema hakuna namna maisha lazima yasonge tu.
Sawa kabs ok niko lokeshesheni lindo Madale nalinda Rolls Royce ya mondiNaona hali sio shwari hadi namba moja anasema hivyo, sema hakuna namna maisha lazima yasonge tu.
😀 😀 😀 😀Sawa kabs ok niko lokeshesheni lindo Madale nalinda Rolls Royce ya mondi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetisha![]()
![]()
![]()
Kiba anazo kama hizo tatu na nimezilianda sana, sema huwa ananikataza nisibonge sana si unajua mwamba haprndi showoff
😀 😀 😀 😀 😀