[emoji16] Hivi ndio nzr bhana unalala taratibuSijui kwanini hii mvua haichanganyi..[emoji21]
Aah Mimi nataka ile kuubwa[emoji16] Hivi ndio nzr bhana unalala taratibu
Uifanyie nini?Aah Mimi nataka ile kuubwa
NilaleUifanyie nini?
Huku Kuna baridi na kimvua kiduchuYan leo kuna baridi huku na mvua Hata haijanyesha
Ushakuja eh dude[emoji23]
Ingia kwenye shuka ulaleHuku Kuna baridi na kimvua kiduchu
Sina usingiziIngia kwenye shuka ulale
Kubwa italeta mafuriko usiombe hiyo bhanaAah Mimi nataka ile kuubwa
Mr Wick [emoji91]
Kitambo nilikuwa kwenye uzi mmoja ni stress tupu acha tu.Ushakuja eh dude
Vp fresh lakini?Ushakuja eh dude
Watajijua wenyewe wanaokaa maeneo hatarishiKubwa italeta mafuriko usiombe hiyo bhana
Unajua level za maisha hatufanani waoneeni huruma nao.Watajijua wenyewe wanaokaa maeneo hatarishi
Stresika tu mwanangu maana haukuitwa ulijipeleka[emoji23]Kitambo nilikuwa kwenye uzi mmoja ni stress tupu acha tu.
Dr mwenye tena tatizo dogo hilo kwako [emoji16] au ndio [emoji15] COVID19 [emoji22]Mafua yamenibana hatari