Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
😂😂😂
Ndiyooo
😂😂😂
😀😀😀
Sio kabisakumbe na ww umeiyona yani ilemovie sio level zake kabisa.
Nimestuka sasa nasikia TBC wamepoteza wafanyakazi watatu ndani ya week mbiliAisee hii korona hata usingizi hauji
Mama D yupo 😃😃😃
Umepotea sana mkuu, nimekuhamu KwelliMama D yupo 😃😃😃
Ukichoka lalaYaani hapa niko njiani naelekea nyumbani. Nna zinga la usingizi
Zinga la uzingizi ndio likoje mkuu?Yaani hapa niko njiani naelekea nyumbani. Nna zinga la usingizi
[emoji23]Nililala, mafunzo ??!
Tukutane usiku
Niliangalia basi tu nilikuwa sina kimeo kingine cha kubandika.