Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,712
- 208,964
๐๐๐๐๐
We hupendi blanket linalopumua?
๐๐๐๐๐
Alafu Mimi na blanket au hata shuka Ni vitu viwili tofauti..najifunikaga Basi tu wakati wa kiubaridi ila sipendiOoh! Nawatamania na hiyo mvua.....
Mvua halafu ukiwa na blanket linalopumua mbona usingizi chap sana unakuja
Sasa anaogaje na mvua nje inanyesha? Au anataka kuumwa kifua
๐๐
Bora umemuulizaSasa anaogaje na mvua nje inanyesha? Au anataka kuumwa kifua
๐๐๐๐๐๐๐๐
We hupendi blanket linalopumua?
Emu njoo huku kaskazini mahaba na blanket yataongezeka tu.Alafu Mimi na blanket au hata shuka Ni vitu viwili tofauti..najifunikaga Basi tu wakati wa kiubaridi ila sipendi
๐๐๐๐Emu njoo huku kaskazini mahaba na blanket yataongezeka tu.
Ila huko kiubaridi mpaka kije ni nadra...unajikuta mwezi mzima mtu unalala tuyuu. Raha sana kulala tuyu
๐๐
Karibuni sana ๐๐๐๐๐๐
Nitamshawishi pasua kichwa wangu..tujege uko kaskazini ๐๐
๐๐
Si ndiyo hapo Sasa..kwanza kuoga oga mwili wangu unaisha
Si ndiyo hapo Sasa..kwanza kuoga oga mwili wangu unaisha
Ahsante SanaKaribuni sana ๐๐