JamiiForums Usiku wa manane
Hahaha...........umesema nije tulale? Naona una mpango wa kuniziba mdomo nishindwe kuishupalia kesi iliyopo mezani
Hahahaha sie ni kulala tu tena fofofo
Kwakweli sina historia ya kuziba midomo ya watu, huo utakua ni utekaji sasa
 
Hahaha Bundi Thad naona unaanza kusinzia ina maana zile sumu zinazoonjwa kwenye bongo muvi sio!
Hahaha....ina maana hujui kuwa bongo muvi wanafanya vile ili kuonesha kuwa wahenga si lolote si chochote,bali wao ambao ni wahenga wa kesho ndo wasema kweli na msemo wao wa 'jaza ujazwe'
 
Hahaha....ina maana hujui kuwa bongo muvi wanafanya vile ili kuonesha kuwa wahenga si lolote si chochote,bali wao ambao ni wahenga wa kesho ndo wasema kweli na msemo wao wa 'jaza ujazwe'
Hahaha hapo kwa wahenga nawaunga kwato ila hapo kwenye Jaza sijui ufanyiwe nini.... Hapana.
Hivi bibie walishawahi kukujaza kweli?
 
Back
Top Bottom