Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,579
- 5,792
Me mwenyewe nataka kujua yaan usiku unakata kabisa ikifika mida flani kila siku, sijui nifanyaje kupoteza hii haliHivi hii ya kukosa usingizi wataalamu wa medical ndio huwa mnaiita insomnia ee?
Nmekumiss[emoji1423][emoji1423][emoji1423][emoji1423]
Nimewa miss pia...nilikuwa kifungoni....Nmekumiss
Ulijifungia auNimewa miss pia...nilikuwa kifungoni....
Eehh bwana...tunajifungia sijui mpaka lini...Ulijifungia au
Nashukuru Mungu hatujamboMzima kabisa sijui ww
Unakula lkn au umejifungia tu mradi upo ndani[emoji38]Eehh bwana...tunajifungia sijui mpaka lini...