Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Hata ww nimekumiss
Asanteee....mzima wewe?
Njema kabisa
Hamu ya chakula ipo basi?Unakula lkn au umejifungia tu mradi upo ndani[emoji38]
Mvua zmeisha
Yaani sasa hivi inanifanya kunyesha unaweza sema sitini after 5 mins imeishaMvua zmeisha
[emoji38][emoji38][emoji38] inanyesha mvua heavy halafu dk chache maji ni mengiYaani sasa hivi inanifanya kunyesha unaweza sema sitini after 5 mins imeisha
Tuhamie mikoa kama iringa au mbeya hivi
[emoji38][emoji38][emoji38] inanyesha mvua heavy halafu dk chache maji ni mengi
Huenda ndo muda wa masikaNgoja tuone kama ndo msimu unaendelea au la
Yah sure thingHuenda ndo muda wa masika