simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Naumiwa mahaba ya kahaba la JF
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
Pole mkuu
Naumiwa mahaba ya kahaba la JF
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
waache mkuu,usije ukapata adhabu ya kutovuka 2020...ukajikuta umeacha ID tu, corona si mchezoI'm a Christian ila hii ni fujo,kesho lazima nipite serikali za mitaa,mtu umetoka huko umechoka,hata kupumzika huwezi
😂😂😂 karantini kwa Goddess ndiyo nimeruhusiwa leoKitambo sana mzee wangu hauonekani au ulikuwa karantini?
ha ha ha binadamu ni kusaidiana
[emoji23] hata usipovuka kuna kwingine huku unafika hap
Aah we nyosha hayo maelezo unataka na hii iwedebate tena [emoji23]Hautarlewa siku1 ni mambo magumu ila.marahisi sana
wako experienced wanachapa kimya kimyaWale wasiobembeleza nao shida
Alaa [emoji23][emoji23][emoji23] hongera sana.[emoji23][emoji23][emoji23] karantini kwa Goddess ndiyo nimeruhusiwa leo
Pole mkuu
Kwa huu ujinga wanaotufanyia siyo ibada tena,mziki wenyewe ni kelele tuwaache mkuu,usije ukapata adhabu ya kutovuka 2020...ukajikuta umeacha ID tu, corona si mchezo
ha ha ha huo ndio uanaume;mwanaume majukumuAaagh big no. Musaada kwa ombaomba Muzee baba
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
Hongera ya nn sasa mkuu?Alaa [emoji23][emoji23][emoji23] hongera sana.
siwezi kukuuwa na corona ww iliufe na wengi nitakuua kivingine kabisa [emoji23]Unajua mr super na wivu wake anaeza nitumia hata kitabu kilichopigiwa chafya na mgonjwa wa corona
mbaya zaidi unakuta wamejenga kwenye makazi ya watuKwa huu ujinga wanaotufanyia siyo ibada tena,mziki wenyewe ni kelele tu
Siumepona mzee wangu we unazani karantini kuzuri [emoji4]Hongera ya nn sasa mkuu?
siwezi kukuuwa na corona ww iliufe na wengi nitakuua kivingine kabisa [emoji23]
Nemc sijui wanatoaje vibali kijinga jinga hivimbaya zaidi unakuta wamejenga kwenye makazi ya watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah nashukuru kwa matusi yako naona unataka kulazwa ww?Unajifanya mafia kumbe mchumba tuu [emoji23][emoji23]
wengine wanajenga bila vibaliNemc sijui wanatoaje vibali kijinga jinga hivi
Si kuzuri kabisa,japo sikuipata hiyo covid19 labda wachina wakija na covid20 proSiumepona mzee wangu we unazani karantini kuzuri [emoji4]