Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,425
Mlale wakuu
Ndo nasubiri mwisho wa story nione kama ndo yenyeweStory? Sungura na fisi au

Mbona sasa kimya ghafla au mmeihamishia kwa waziri husikaAhahahaaaaa
Tena usipige hata chafya

Naona waumini wanapotea mdogomdogo mkuu wengine wameshazima na dataNdo nasubiri mwisho wa story nione kama ndo yenyewe![]()
Wengine tuko kazini mkuu, tukiruhusu kope kujifunga hata dakika tano, ajira ndo itakua ishaota nyasiMlale wakuu

Ok....![]()
Mlaleee mida yetu hii.
AhahahaaaaaaNdo nasubiri mwisho wa story nione kama ndo yenyewe![]()
Wapi ndugu yangu naona mtoa hadithi kapumzika kidogo ngoja tumsubirieMbona sasa kimya ghafla au mmeihamishia kwa waziri husika![]()
Aisee, ila nahisi wapiga story kuna kasehemu ka siri wamehamia kulainisha usingiziNaona waumini wanapotea mdogomdogo mkuu wengine wameshazima na data

Hahaha sio mchezo, yawezekana ile miitikio ya kumfanya mpiga story ajue unamsikiliza ndo imemleweshaWapi ndugu yangu naona mtoa hadithi kapumzika kidogo ngoja tumsubirie

Salama mkuu, karibu chai, kama jasho la mtu linaliwaHabari za Asubuhi jamani!

AhahahaaaaaaAisee, ila nahisi wapiga story kuna kasehemu ka siri wamehamia kulainisha usingizi![]()
![]()
Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie, na hapo sikuweka chombeza mazungumzoHahaha sio mchezo, yawezekana ile miitikio ya kumfanya mpiga story ajue unamsikiliza ndo imemlewesha![]()
![]()
,ningeweka je???Hahaha bora hata hukuweka chombezo, huenda ungemzimisha mtu,Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie, na hapo sikuweka chombeza mazungumzo,ningeweka je???

Daah sasa bibie unatuacha achaje, msalimie jirani yako, mwambie kuna tuhuma zake anatakiwa aje kujibu hukuGud night guys

Nakukumbusha tu..ufue mashuka asubuhi