spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Masera!!!!!!Mwenzenu nimeota ndoto mbaya mpaka naogopa kulala
Masera!!!!!!Mwenzenu nimeota ndoto mbaya mpaka naogopa kulala
Usiku kwako,kwa wenzio ni mchanaamelaaniwa yule ageuzae usiku kuwa mchana![]()
Pumzika kwa amani mpendwaHey peoples, kesheni pia mkiomba
Kwa leo siwez maana sio kwa usingiz huu nilio nao
Ooh jaman, nimekuchelewaHey peoples, kesheni pia mkiomba
Kwa leo siwez maana sio kwa usingiz huu nilio nao
Ok, tupige stori basi hadi utakapo lalaNipooo![]()
Huyu huwa haotagi ndoto mbaya wikiend,Njoo basi bimzuri au leo hujaota ndoto mbaya???
Maserati
Yawezekana saiv hata simu hawezi ishika sababu ya

Huyu huwa haotagi ndoto mbaya wikiend,Yawezekana saiv hata simu hawezi ishika sababu ya
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()





Nihadithie best, mie huwa napenda sana kuskiliza storyOk, tupige stori basi hadi utakapo lala
How old are you?Nihadithie best, mie huwa napenda sana kuskiliza story
How old are you?

Nafatilia story kimya kimyaNihadithie best, mie huwa napenda sana kuskiliza story

Story? Sungura na fisi auNafatilia story kimya kimya![]()
![]()
![]()
Tulale wapi? Tupo tunakusubiria wewe, bora umekuja aiseehOii oiii mshalala?!
AhahahaaaaaNafatilia story kimya kimya![]()
![]()
![]()