Mwenye dawa ya usingizi naomba anisaidie
Ndo nitaupata?
Kapua kwa muda wa dk 2 bila kupumzika
sawa ngoja nijaribu.Fikiria majina yote na uyataje kimoyo kimoyo kwa kuanza na yanayoanza na A, the B, C, D ..., kabla hujafika D utakuwa umeshapata usingizi.
sawa ngoja nijaribu.
Hahahaa yani bado unayo tu nikajua yameisha!Ila iyo avatar siyo powa, natamani kuinunua usiitumie.
Dah...Leo biashara siyo nzuri kabisa [emoji2960]
Unafanyaga biashara usiku wote huu?Dah...Leo biashara siyo nzuri kabisa [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Hahahaa yani bado unayo tu nikajua yameisha!
KijanaMzeee
Mlinzi mkuu