Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Huwezi kugeneralise kwa jibu la mtu mmoja dhidi ya wa3. Ongeza sample yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kugeneralise kwa jibu la mtu mmoja dhidi ya wa3. Ongeza sample yako
Kwahiyo we unataka watu wangapi sema nianze kuwatag maana hao watu ni jeshi.Huwezi kugeneralise kwa jibu la mtu mmoja dhidi ya wa3. Ongeza sample yako
Sent using Jamii Forums mobile app
We chenga sanaKama umuamini basi lakini yy kasema ukweli kuwa mm sio mzee wa fix.
Kwani kihonda inaanzia wapi?
Atapiga kipensi huyo.


ahh unataka kunidhalilishaLazima awepo kwa ajili ya kukudhibiti. Hukawii kuanzisha vagiHaiwezekani huyu kuja kabisa![]()
Ndio manakeHizo ndo mambo .unavaa kuendana na mwili sio kila fashion
Anapenda gospel si mchungaji huyu
Hahahahaha kwa kweliWe uko vizuri,ingawa hii huwatokea wazee wengi wanakuwa hawana usingizi...hata wakikesha lindo watalala kidogo na wataamka
Mh hayaAmna huu ndio ushahidi niliobakia nao sasa![]()
Tunataka waweke uthibitisho hapa sio maneno matupuKwahiyo we unataka watu wangapi sema nianze kuwatag maana hao watu ni jeshi.
ahh unataka kunidhalilisha
Af hapa nachomoka maana kichwa kishakuwa kizito
Sawa nakuskiliza ww tu mwananguUsiwasikilize hao ujueni watu wachonganishi?
Anapenda gospel si mchungaji huyu


Kesho uje pale kanisani nasalisha misa.Piga mbonji mzeeahh unataka kunidhalilisha
Af hapa nachomoka maana kichwa kishakuwa kizito