Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kama alivyosema simiss wewe inawezekana hata Moro hupajua ila unatupanga tu. Nitajie wewe Kihonda kama unaijua[emoji23][emoji23] Hupajui kihonda ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahh staki kusimamisha traffic kwa kuangalia fito zangu mzee... bora nisikuje
Kama unamuamini, mwambie atuwekee hapa formula ya kutengeneza hand sanitizer. Akiweka hapa nitasaidiki maneno yako
Msavu,Kama alivyosema simiss wewe inawezekana hata Moro hupajua ila unatupanga tu. Nitajie wewe Kihonda kama unaijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yoyote hatengwi, tutafanya namna awe pamoja nasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi lazima tukutenge ww.
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama umuamini basi lakini yy kasema ukweli kuwa mm sio mzee wa fix.Kama unamuamini, mwambie atuwekee hapa formula ya kutengeneza hand sanitizer. Akiweka hapa nitasaidiki maneno yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe anakujua toka 2015 enzi unakula bata Nashera wakati huo hata Mo Town haijaanzaUsiwasikilize hao ujue [emoji23][emoji23] ni watu wachonganishi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo nimempanga.Ahhh wapi..sisi ndo tumekutana na mtiti wako so tunakuelewa
Tutakupeleka viwanja vya wastaarabu kule juu B&W kama vpWahuni unawajua ww?
Haiwezekani huyu kuja kabisa [emoji4]
Utapiga jeans kama kawaidaAhh staki kusimamisha traffic kwa kuangalia fito zangu mzee... bora nisikuje
Huna pa kushikia mzee babaAmna huu ndio ushahidi niliobakia nao sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MO town imeanza lini kwani [emoji23]Kumbe anakujua toka 2015 enzi unakula bata Nashera wakati huo hata Mo Town haijaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakubali kabisaWote najua nyie si njiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo ndo mambo .unavaa kuendana na mwili sio kila fashion
Atapiga kipensi huyo.