Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Tulia sasa [emoji4] niko kwenye mchakato.Sasa hapo ndio unazingua. Ina maana huna connection town hapo? Una fail sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia sasa [emoji4] niko kwenye mchakato.Sasa hapo ndio unazingua. Ina maana huna connection town hapo? Una fail sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda jamaa anataka uweke na picha ya uthibitisho kabisa maana huaminiki eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Men [emoji51]
Labda jamaa anataka uweke na picha ya uthibitisho kabisa maana huaminiki eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya michakato ndio yalipigwa marufuku. Inaweza chukua karne mchakato haujakamili. Ila na wewe nakuvizia tu uingie kwenye anga zangu nikupe kubwa.Tulia sasa [emoji4] niko kwenye mchakato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwazoni unajua watu waliipinga sana joker sasa juzi nashanga natuzo wameipa wao wenyewe.Huyu jamaa ana kipaji, wewe hukumbuki hata kwenye The Gladiator alivyofanya. Ilifika wakati nikasema anaweza mfunika Joker Heath Ledger [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha ila mimi Scar ndiyo namkubali kuliko characters wote [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upuuzi wa Pumbaa na Timon ni wahali ya juu ndio wanaonifanya nipende Lion King.
Humu JF kuna watu wana majina ya kiume lakini wao ni wanawake na kuna wanaume lakini wao wanatumia majina ya kike kwahiyo hawe makini tu.Labda jamaa anataka uweke na picha ya uthibitisho kabisa maana huaminiki eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Joker is creepy.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwazoni unajua watu waliipinga sana joker sasa juzi nashanga natuzo wameipa wao wenyewe.
[emoji23][emoji23] mm sio serikali ww.Hayo mambo ya michakato ndio yalipigwa marufuku. Inaweza chukua karne mchakato haujakamili. Ila na wewe nakuvizia tu uingie kwenye anga zangu nikupe kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo umeamua kumuonya kabisa asije akaingia kichwa kichwa.Humu JF kuna watu wana majina ya kiume lakini wao ni wanawake na kuna wanaume lakini wao wanatumia majina ya kike kwahiyo hawe makini tu.
Humu JF kuna watu wana majina ya kiume lakini wao ni wanawake na kuna wanaume lakini wao wanatumia majina ya kike kwahiyo hawe makini tu.
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo umeamua kumuonya kabisa asije akaingia kichwa kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na siku ukitaka dodo ndio utajuta kwa nini unanifanyia michakato isiyo na maslahi.[emoji23][emoji23] mm sio serikali ww.
Kwa hiyo mzee ulitaka kuanza kurusha ndoano halafu akinasa ule kimasihara?Haha sasa Kama Jina Lako linaukakasi Unaweza juwa Manzi flan kisu wakishua [emoji1787][emoji1787]
Sorry Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka uhakika ni kukutana nae otherwise amini kuwa kila aliye hapa ni konokono.
Kwa hiyo mzee ulitaka kuanza kurusha ndoano halafu akinasa ule kimasihara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu tujumuikeWalinzi wa leo mpo makini sana.
Big up kwenu.
Mjinga yule anaweze kusumbuliwa na hyena.Hahaha ila mimi Scar ndiyo namkubali kuliko characters wote [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]