VIP [emoji23][emoji23] mm mtt wa uswailini napenda vile vigoma na huku nikiangalia mpila ndio nainjoy lakini mm ni msimbazi sio utoporo ww wapi mwenzangu?Unakaa v.i.p au
Jitahidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah poa basi tulia nikutafutie.
Mbona inaload yenyewe tu simple.
Joaquin katisha sana aisee.Joker kweli ni DC to [emoji20]
Namuona pumba yupo kikatuni zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni lejendari [emoji23][emoji23][emoji23]
Unasiri gani ww [emoji23][emoji23] kwenye hii nchi au ndio umeshazidiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]M nalala zangu bwana maana sijielew nisijetoa siri zangu bure
Generate solution faster
Tulia mm mwenye natamani nione hayo maajabu ujue maana naona unamzuka nayo kinoma.
[emoji23][emoji23][emoji23] sana vile vicho alivyokuwa anatoa mule mm ndio alikuwa ananiafikirisha sana ujue najiuriza wakati wanashot alikuwa anachekeshwa na nn?Joaquin katisha sana aisee.
Huyu ndiyo wa ukweli sasaNamuona pumba yupo kikatuni zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia mm mwenye natamani nione hayo maajabu ujue maana naona unamzuka nayo kinoma.
Sasa hapo ndio unazingua. Ina maana huna connection town hapo? Una fail sana.Tulia mm mwenye natamani nione hayo maajabu ujue maana naona unamzuka nayo kinoma.
Huyu jamaa ana kipaji, wewe hukumbuki hata kwenye The Gladiator alivyofanya. Ilifika wakati nikasema anaweza mfunika Joker Heath Ledger [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] sana vile vicho alivyokuwa anatoa mule mm ndio alikuwa ananiafikirisha sana ujue najiuriza wakati wanashot alikuwa anachekeshwa na nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upuuzi wa Pumbaa na Timon ni wahali ya juu ndio wanaonifanya nipende Lion King.Huyu ndiyo wa ukweli sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I see.Sorry Mkuu wewe ni men au women Jina lako linanichanganya [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Men [emoji51]Sorry Mkuu wewe ni men au women Jina lako linanichanganya [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app