Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Usianze kunitia machungu kesho uje wakati tunaenda taifaHaya lakini ujanijibu ujue kuhusu yale maji ya yanga [emoji4]
Usianze kunitia machungu kesho uje wakati tunaenda taifaHaya lakini ujanijibu ujue kuhusu yale maji ya yanga [emoji4]
Basi tukutane taifa na maji ya yanga mm nitakuepo pale kuanzia saa 9 mchana.Usianze kunitia machungu kesho uje wakati tunaenda taifa
Saaa9 utaka kuaishia nje nn ww mm naenda saa4 nabeba na msosi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichanganyeBasi tukutane taifa na maji ya yanga mm nitakuepo pale kuanzia saa 9 mchana.
[emoji23][emoji23] na ww unataka ule kimasihara mzee.
Movie zako hizi Goddess.
Hiyo tarehe 4 Jan mm nilienda saa 8 na siti nilipata uwanjani.Saaa9 utaka kuaishia nje nn ww mm naenda saa4 nabeba na msosi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichanganye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ogopa vitu ambavyo unapata kirahisi rahisi tu.
Hapa penyewe sasa [emoji109]
Zinanivuruga tu sijawahi elewa mm saiz sijui iko ya 7 au 8 ni series sasa dark vendor anawasumbua tu.Mimeiangalia mida hio cover nomeshindwa elewa ya mwaka gani hii
Haha mm nafatiliaga animezake wao nmewakaushiaZinanivuruga tu sijawahi elewa mm saiz sijui iko ya 7 au 8 ni series sasa dark vendor anawasumbua tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ogopa vitu ambavyo unapata kirahisi rahisi tu.
Sema hizi pin zake ni za enzi zile dunia nyeusi ndo maana hata cover sijaielewaZinanivuruga tu sijawahi elewa mm saiz sijui iko ya 7 au 8 ni series sasa dark vendor anawasumbua tu.