Nikajua niko mwenyewe.Watu wapo mbona mzee wangu.
Nikajua niko mwenyewe.Watu wapo mbona mzee wangu.
Njoo....Nikajua niko mwenyewe.
Siku nikishindwa kua happy Alone..nitaingia ulingoni.
[emoji4] we tena mzee wa walimbwende unawezaje kuwa mwenyewe wakati kila siku uko nao!Nikajua niko mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23] yalikuwa ni maoni tu mzee sijakubadilisha mtazamo kabisa.Unapoteza muda kunishauri mkuu..
With or Without you, I shine..
Don't force anything...
Hiyo ndio torati yangu.
Sio, Maoni hayakatazwi lakini msimamo unabaki nao ww mwenyewe ndio utaamua usikilize au ukatae.Maoni hua yana dhamira ya kufanya mabadiliko juu ya kitu fulani
Wapi wife ?Njoo....
Daah, naona umeamua kunitusi kaka mkubwa.[emoji4] we tena mzee wa walimbwende unawezaje kuwa mwenyewe wakati kila siku uko nao!
Haya naomba radhi mzee wangu nimekosea.Daah, naona umeamua kunitusi kaka mkubwa.
Mimi sio mzee wa Walimbwende kabisa. Historia inasema hivyo.
Karibu.
Tupo mkuu...
Na kwako pia mwenzaKwa popo wenzangu woteView attachment 1356723