Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
04:00
Triple 7 kwa nje ,nawalinda waimba karaoke

Duuuh pole sana aisee, tunashukuru umefika salamaSAA 02:20 usiku.
Ngoja niwajulishe shida niliyopata Leo...
Leo nikiwa safarini nilipata tyre busting mara mbili, haikua kazi rahisi but sikupata ajali. Nikiwa nakaribia Bariadi kijiji cha mwisho nikapata "Basta" ya kwanza, ikanibidi kwenda kwa bodaboda hadi bariadi mjini kununua mpira mpya, baada ya kufunga na kuanza safari, dakika chache kama 40 minutes later mpira mwingine ukabasti na kuchanika vibaya, gari iliyumba lakini niliweza kui-control. Ikabidi tena kununua mpira mwingine tena.
Namshukuru Mungu nimefika salama usiku huu. Nawatakia mkesha mwema.
Ngoja nipumzike. View attachment 1355827View attachment 1355828
Kitochi Original
Ndio naingia halafu ushaenda kutepeta. Hamida siku hizi anakufanya unakuwa mzembe lindoni.Usiku mwema guy's.
Pole kwa majangaSAA 02:20 usiku.
Ngoja niwajulishe shida niliyopata Leo...
Leo nikiwa safarini nilipata tyre busting mara mbili, haikua kazi rahisi but sikupata ajali. Nikiwa nakaribia Bariadi kijiji cha mwisho nikapata "Basta" ya kwanza, ikanibidi kwenda kwa bodaboda hadi bariadi mjini kununua mpira mpya, baada ya kufunga na kuanza safari, dakika chache kama 40 minutes later mpira mwingine ukabasti na kuchanika vibaya, gari iliyumba lakini niliweza kui-control. Ikabidi tena kununua mpira mwingine tena.
Namshukuru Mungu nimefika salama usiku huu. Nawatakia mkesha mwema.
Ngoja nipumzike. View attachment 1355827View attachment 1355828
Kitochi Original
Hahahaha
Hahahaha, kumbe huwa una babe wako humu? Safi sana
Humu mbali na kuja "mi naishi humu"

Haha yupo ila nataka nimuacheHahahaha, kumbe huwa una babe wako humu? Safi sana
Mmmmh,usifanye hivyo
Hahahaha, km ni hivyo sawa, uamuzi ni wenu, sie wengine watoa like tu
SawaHahahaha, km ni hivyo sawa, uamuzi ni wenu, sie wengine watoa like tu
Kila la kheri ,kwa uamuzi huo
Asante sana sana Rafiki
SAA 02:20 usiku.