Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
Mbona kimya kimya?
Hahahaaaaa.....angalia usijejing'ata huo ulimi wako tu 🙂🙂🙂

asantee bundi Thad..:-DKaribu bundi mwenzetu 🙂🙂🙂🙂
Msalimie na yeyeWifi yenu anawasalimia wote
Bundi mwenzetu hapo anamaanisha anapita anaenda kuwanga atarudi badae.Mbona kimya kimya?

Humtendei haki,yaani badala ya kumkumbatia muda huu we unazurura jf kweli? Anyway mpe hiWifi yenu anawasalimia wote
Kama unangoja kuota meno ndo ujue umekua,utasubiri sana 🙂🙂🙂🙂 Tangu lini bundi akaota meno?![]()
![]()
Bundi Thad bhana, mimi ni bundi mdogo bhana sina meno![]()
Naenda kulalaUsiku huu wa masaba waenda wapi peku peku nikusindikize bibie![]()
![]()
![]()
Usiogope huku hakunaga makelele sana,tunaogopa kuwaamsha walolala tusije tukalala sie....asantee bundi Thad..:-D
japo naona kama kunataka kupooza hivi
mbona mapema sana?Naenda kulala
Hahahaaaaa.........ni vyema akatuaga ili mambo yakimchachia huko tujue pa kumtafutiaBundi mwenzetu hapo anamaanisha anapita anaenda kuwanga atarudi badae.![]()
Naenda kulala
