Haya ulale unono popo (ila kuna aina nyingi za popo ujue..Mimi leo ni popo acha nilale niwaache bundi's
Zamu kwa zamu
Mda wa popo umepita naona
jitambulishe na aina kabisa, usikute ni yule popo mwenye bawa
"Nakumbushia nyama ya nguruwe bado inapatikana kilo 7500 delivered







Hahahaha...matangazo madogomadogo baada ya kushuka sana uzi.shift ya usiku
Dah yani umeshalala , mapema yote hiiSafi mkuu
Huku mchana ndo unaingia hapa naelekea kutafuta lunchSalama vipi huko, huku jua linawaka sio mchezo
Dah yani umeshalala , mapema yote hii

Bundi nipo hapaPopooooz