Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Tafadhali usinichonganishe na wifi yangu bwana!labda kaona noma kusema moja kwa moja akaona inafaa apitie mgongo wa kuwa refa hahaha
Tafadhali usinichonganishe na wifi yangu bwana!labda kaona noma kusema moja kwa moja akaona inafaa apitie mgongo wa kuwa refa hahaha
Usiogope bibie wifiyo ana upendo wa agape, anakupenda kama nafsi yakeTafadhali usinichonganishe na wifi yangu bwana!
au ushasahau ya wahenga "kizuri kula na nduguyo"kumradhi mpendwaTafadhali usinichonganishe na wifi yangu bwana!
Asantekumradhi mpendwa
ohoooUsiogope bibie wifiyo ana upendo wa agape, anakupenda kama nafsi yakeau ushasahau ya wahenga "kizuri kula na nduguyo"
Naona Bundi Thad ushaanza kusinziaAsante

nilidhani ni mimi tu niliegunduaNaona Bundi Thad ushaanza kusinzia![]()
hahahaha niwie radhi mkuuMkuu huu uchochezi sasa,![]()
![]()
![]()
Hata huku umeme umekata kabisa, njoo kwangu nina jenereta.....umekata kabisaaaa

nani huyo?.....umekata kabisaaaa
Hata huku umeme umekata kabisa, njoo kwangu nina jenereta![]()
njoo unifuate naogopaHahahaha usiniangushe bhana, hapajawahi tokea "mumu" muoga.![]()
![]()
njoo unifuate naogopa

dohFuso![]()
Hata mimi nipo hapa naona wife anakoroma tu.Usingizi umenipaa wadau.
Mimi nachora tuu Picha hapaHata mimi nipo hapa naona wife anakoroma tu.