JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jana na Leo.
Hivi sasa ni saa sita na dakika 16 ni siku mpya ya ijumaa.

Nimekesha leo kwa ssbabu kukesha maana yake ni siku ya zamani na mpya zikukute ukiwa macho.

Na mimi niko macho tokea jana.

Naomba kuwasilisha kwenu kwa wote waliokesha kama mimi tia like tuonane popo wenzangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mkuu
 
Back
Top Bottom