JamiiForums Usiku wa manane
Location wapii mkuu
Ngoja nisubiri nikue tu
Nilimuuliza location kwa lingala ya congo
Upo wapi? au hapo wapi? ="Eza wapi?"

Akajibu kwa kuniita
Eeh mdogo wangu njoo Sinza uje unywe bia = "Eeh Petit wangu, kuya fasi ya sinza ,ukunye biere "

Nikamuuliza Nitapata hapo mrembo mmoja wa kunywa nae bia = "Sasa papaa nitapata mwasi kitoko moya hapo ya kula nayo biere? "

Note:
Mwasi kitoko = mwanamke mrembo
Eza wapi = Upo wapi
Petit = mdogo
 
Usiku wa manane ..... ila kuna mabaharia wanatamani wao ndio wawe hiyo Serengeti lite
Screenshot_2020-01-31-22-45-19-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimuuliza location kwa lingala ya congo
Upo wapi? au hapo wapi? ="Eza wapi?"

Akajibu kwa kuniita
Eeh mdogo wangu njoo Sinza uje unywe bia = "Eeh Petit wangu, kuya fasi ya sinza ,ukunye biere "

Nikamuuliza Nitapata hapo mrembo mmoja wa kunywa nae bia = "Sasa papaa nitapata mwasi kitoko moya hapo ya kula nayo biere? "

Note:
Mwasi kitoko = mwanamke mrembo
Eza wapi = Upo wapi
Petit = mdogo
Huyu baharia hafahamiki alipo.. Nadhani atakua west Africa huko. Kama sio kwa Mobutu
 
Back
Top Bottom