Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Pole sana mhenga
Pole sana mhenga
Sijawahi kuingia ila nimepelekwa mara mbili na watu wawili tofauti, wa tatu nilimshtukia mapemaPole sana mhenga
Uje huku nyuma nikupe dawa next time wasikuite kabisa. Njoo hukuSijawahi kuingia ila nimepelekwa mara mbili na watu wawili tofauti, wa tatu nilimshtukia mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
No, this is not correct and totally unacceptable. Kwa MTU mstaarabu hawezi kusema haya. Brother umekosea sanaWasichana wa jf wengi ni wahuni na ni singo maza
NakujaUje huku nyuma nikupe dawa next time wasikuite kabisa. Njoo huku



Faster sana
Nakuletea tochi na redio usikilize maombiWakuu nipo lindo leo nasimamia upande wa huku kusini kwenye kagiza
Sikuoni ujue...sioni kale ka alama pendwa pale kando kenye alama ya bahasha
We jamaa napajua hapo
We mishili ushawahi kuzaa
We unatakaje? Niwe nimewahi au sijawahiWe mishili ushawahi kuzaa
Angalia vizuriSikuoni ujue...sioni kale ka alama pendwa pale kando kenye alama ya bahasha
Aaaghhh wapi
Utakuwa unatumiwa unyabeni
Hii haijakaa sawa hii budaah, kumbuka ni ushawishi wa vijana kama wewe uliowafanya wawe hivyo ndugu zetu hawa wanashawishika kirahisi sana.Wasichana wa jf wengi ni wahuni na ni singo maza
Ni ujinga wao unawaponzaHii haijakaa sawa hii budaah, kumbuka ni ushawishi wa vijana kama wewe uliowafanya wawe hivyo ndugu zetu hawa wanashawishika kirahisi sana.
Sent using OPPO Mobile Phone