JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

True bro thou early years of my life nilikuwa village ingawa sikuwa katika umri wa kujitambua tu
Ukijua TV zimeingia lini bongo basi age ya huyu kijana hupati shida hapa ndipo napozidi jidhihirishia jibu langu ni sahii [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwendokasi express na bajaji 2

Kuna muhimu kwa miezi 6 tu amelala na wanawake 30,000.
Dahhhhh huyo hapana.. ni tatizo.. elfu 30.. kwa siku alikuwa analala na wangapi na bila shaka atakuwa mtu wa madini au usafirishaji
 
Ukijua TV zimeingia lini bongo basi age ya huyu kijana hupati shida hapa ndipo napozidi jidhihirishia jibu langu ni sahii [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daahhh nilibugi step walahiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. hapo sibishi umepatia mkuu maana mzee aliinunua zenji ..ulaaniwe
 
Dahhhhh huyo hapana.. ni tatizo.. elfu 30.. kwa siku alikuwa analala na wangapi na bila shaka atakuwa mtu wa madini au usafirishaji
Ni clip fulani hv ilipostiwa na TMZ last year mwana mmoja akifanya interview na redio 96.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daahhh nilibugi step walahiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. hapo sibishi umepatia mkuu maana mzee aliinunua zenji ..ulaaniwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari zako zishakwisha ww umeshakuwa reviled.
 
Back
Top Bottom