Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Hahah...sasa ndio akili yakurudia eenh...poa
Blue monday mkuu ..japo saa hii ni jumanne tayari
Hadithi inamuhusu kijana mangasini alitumwa na mfalme akalete la la laaa ili amuoe mwanae


nimecheka sana, nilishasau hii hadithi umenikumbushaAiseePole mtoto wa juzi. Muhenga nikusimulie..
Kichuchu na simba wamkumbuka?
Asante wacha nimuungishe muuza kahawa pia nisije sinzia lindoniKazi na dawa
Asante mkuu
Acha ugomvi basi