JamiiForums Usiku wa manane
Hahahahahhaha si nimesema amechoka baada ya shughuli nzito za kujenga Taifa? Sasa amerudi keshapata dinner na keshakoga amelala.

Ulielewaje mkuu tafadhali nijuze

Jesus is my saviour and a friend
Kuna vitu viwili vilinichanganya hapo , ila ya ngoswe mwachie ngoswe, baada ya kunijibu hapo juu ndio nimeelewa sasa,siku yako inakwendaje
 
Back
Top Bottom