Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
POPOOOOOOOOOOZZZZZZZZ.......
Habali ya leo mkuuNext week jirani
Manga ulilala mapema Jana. Usihofu next weekend thenOhoooo nimekosa bata dah
Manga ulilala mapema Jana. Usihofu next weekend thenOhoooo nimekosa bata dah
Heri nimeandaa zawadi kabisa.Next week jirani
Yupo juu ya ungo tuUsiku mwema wadau...ngoja tumwachie nafasi mshana jr maana yeye mida yake saa 9 usiku
Nilikua mchovu khatar kumbe kulikua na mtoko ha ha haaaaManga ulilala mapema Jana. Usihofu next weekend then
Mambo niaje wanguManga ulilala mapema Jana. Usihofu next weekend then
Mzee wamekuacha mwenyewe leoInna popo sugu umekuwa kuku
Jamani nasikia Sauti ya mlio wa Ndege simfahamu....!!
Naombeni mnijuze mlio wa Ndege yule mwenye Mabalaa..
Sina imani na amani kabisa....Mshana Jr, wake up...
Sent using Jamii Forums mobile app
toka nje ukamfukuze kabla hajaleta maafa