dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Kumbe nawewe captain umegundua, hiloHahaha hapa ametupiga chenga ya mwili mkuu, hapo kashakua mwepesi kabisa anatuzuga tu hapa![]()
Kumbe nawewe captain umegundua, hiloHahaha hapa ametupiga chenga ya mwili mkuu, hapo kashakua mwepesi kabisa anatuzuga tu hapa![]()
Nikutafute auNataka unifundishe inakuaje sasa
Hakika namtukuza Mungu, majukumu yangu especially ya siku ya leo nimeyafanya kwa ustadi mkubwa sana![]()
Hapa kuku wengi ukimwaga mchele italeta mushkeri na watu wasio julikana
Na majukumu je yanaendaje
SanteeeeeeeNao pia hawajulikani mkuu![]()
Unamanisha watu wasiojulikanaNao pia hawajulikani mkuu![]()
Kumbe nawewe captain umegundua, hilo
Ni mida ya watu wasojulikanaWatu na lugha zao, haya banah nawasalimia wote
Naam!!! Hata kwangu Mungu mwema ananipigania kila iitwapo leo, kwa hali na maliHakika namtukuza Mungu, majukumu yangu especially ya siku ya leo nimeyafanya kwa ustadi mkubwa sana
Vp wewe mwenzangu?
Jesus is my saviour and a friend
Me nimekosa lodg niko na toto matata sijui niende uwanja wa fisiNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Watu na lugha zao, haya banah nawasalimia wote
miss ney karibu..!!Ndio mkuu, au wewe unawajua?Unamanisha watu wasiojulikana
Ney pokea zangu salamuWatu na lugha zao, haya banah nawasalimia wote
Karibu Dada mkuu, ni ulimi ULIWASHWA kidogo ukaanza kutamka maneno yasiyojulikanaWatu na lugha zao, haya banah nawasalimia wote

Nimefurahi kusikia baraka za Mungu juu yako.Naam!!! Hata kwangu Mungu mwema ananipigania kila iitwapo leo, kwa hali na mali
Upo wapi ndugu?
Mpeleke kwako mkuu kwa nini ulipe lodge muda umeshaemda sana
Amen...!!!!Nimefurahi kusikia baraka za Mungu juu yako.
Kuhusu swali lako niko kitandani mkuu.
Hope nimekujibu vyema![]()
Jesus is my saviour and a friend
nawe ubarikiwe ktk kazi zako mkono wa Mungu usikupiteLeo tena vipi![]()
nimekuja kufunga geti