Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Lala unono jirani yanguUsiku mwema wakuu!
Lala unono jirani yanguUsiku mwema wakuu!
ByeByeee all
Jesus is my saviour and a friend

Ulale salamaNgoja na mie nilale sasa kama ulikuwa mnanipa faraja mnalala...usiku mwema nyote
Polee]asee maji shida Sana hku kwetu usiku kma huuu Ndio yanatoka, hpa npo kwenye foleni tu maji twenywe tunatoka kidoncho
Kimbembe Kuna mjeda kwenye foleni yupo mbele yangu afu kapanga pipa! Namwangalia tu akati wote tunavndoo
Asante ila hapa naona dalili zakutoka sa12 asubuhiPolee
Watakuwepo tuLeo hamna watu humu aisee
TupooLeo hamna watu humu aisee

Captain captainTupoo![]()