Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Hahaa kamshinda mbali baba ake kwa muono wanguChaajabu baba yake anasema ajuikuimba eti Enrique.
Hahaa kamshinda mbali baba ake kwa muono wanguChaajabu baba yake anasema ajuikuimba eti Enrique.
Kwani kwenye tasnia ya mziki mpaka unasema flani anajua kuimba nini haswa kinaangaliwa?Chaajabu baba yake anasema ajuikuimba eti Enrique.
Sasa mzee kafunikwa.Hahaa kamshinda mbali baba ake kwa muono wangu
Mmhh.. Hiyo home labda unamaanisha mbinguni kwa baba ake Yesu na mimi
AsanteeKaribu...
Hivi kuna mwimbaji anaeimba nyimbo za kubembeleza kwa hisia kama Enrique Iglesias na sauti yake ile ya kwenye koromeo..
Ahsante kushukuruAsantee
Ngoja nitatenga muda ni wasikilize nyimbo zao.. Maybe na Hero na My number one. Enrique Iglesias aliitendea haki sanaMsikilize Julio
Sijajua watu hutazama nn lakini kila mtu kunakuwa nakitu anavutiwanacho kwa msanii fulani, lakini aliosema kwamba Enrique hajui kuimba ni baba yake naye alikuwa ni muimbaji mzr sana wakati wake.Kwani kwenye tasnia ya mziki mpaka unasema flani anajua kuimba nini haswa kinaangaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
The lady with the beautiful heart, good evening to you!Msikilize Julio
Umekuja eeUmofia kwenu makamanda!!
Om zipo chupa 6 hazina hata mnywaji mm situmii pombe kabisa kunasiku nilikunywa wine nyeupe dah nikaitema hapo hapo.
Napita tuu, wala sikai😀Umekuja ee
Naomba unitajie kibao kimoja matata alichoimba babake.Hahaa kamshinda mbali baba ake kwa muono wangu
Ngoja nitatenga muda ni wasikilize nyimbo zao.. Maybe na Hero na My number one. Enrique Iglesias aliitendea haki sana
The lady with the beautiful heart, good evening to you!
Haha powa kabisa. KaribuUsiyempenda kaja😀😀😀
Habari za masiku?