Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Nindance wakati nimelalia tumbo hapa..Tafuta mtu wakudance naye sasa blue's huwezi cheza pekeyako mzee.
Natamani mwenyewe ningepata wa kudance nae
Nindance wakati nimelalia tumbo hapa..Tafuta mtu wakudance naye sasa blue's huwezi cheza pekeyako mzee.
Yaa naona ni masaa nane hadi zote ziishe..Hapo asubuhi itakukuta bado wasikiliza hivyo vibao mutual toka kwa hao wasanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo asubuhi itakukuta bado wasikiliza hivyo vibao murua toka kwa hao wasanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nindance wakati nimelalia tumbo hapa..
Natamani mwenyewe ningepata wa kudance nae


tafuta sasa mzee.Nitafutie ka girl huko majukwaani kaje tusikilize woteHongera....
Yaa naona ni masaa nane hadi zote ziishe..
Nitafutie ka girl huko majukwaani kaje tusikilize wote
Waini inatoka wapi ungesema maji ningekuelewa.. shem ndio kabisa.Sasa inabidi uvisindikize na wine kwa pembeni huku shem akiimba na kudance taratiibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujanipa habari zakeJukwaani tena?
Mdogo wangu anakutosha
Hv kuna uhusiano gani kati ya wine na blue's?Sasa inabidi uvisindikize na wine kwa pembeni huku shem akiimba na kudance taratiibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu12:25
Mbona hujanipa habari zake
Powa kabisaHabari zenu kwa mpigo humu
Mmhh.. Hiyo home labda unamaanisha mbinguni kwa baba ake Yesu na mimiTatizo unanipotezeaga sana.
Utazipata ukija home
Karibu...0041
Chaajabu baba yake anasema ajuikuimba eti Enrique.Hivi kuna mwimbaji anaeimba nyimbo za kubembeleza kwa hisia kama Enrique Iglesias na sauti yake ile ya kwenye koromeo..
Akili itachangamka vizuri ikiambatana kinywaji na mziki usikilizao sasa. Usiku tulivu husindikizwa na kinywaji tulivu ukiangalia siku yenyewe inaruhusuHv kuna uhusiano gani kati ya wine na blue's?
unakunywa wine ww?Akili itachangamka vizuri ikiambatana kinywaji na mziki usikilizao sasa. Usiku tulivu husindikizwa na kinywaji tulivu ukiangalia siku yenyewe inaruhusu
Sent using Jamii Forums mobile app