dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
michakato ya kusaka doo inaendaje lakinFather mtoto huku heri kabisa
michakato ya kusaka doo inaendaje lakinFather mtoto huku heri kabisa
Kwa hiyo jino kwa jino hiyo, ila mnajuana nyieJirani leo kanikimbia kisa jana nilimkimbia aisee.
Lindo vipi huko
Mdo mdo mkuu japo changamoto ni za siku zotemichakato ya kusaka doo inaendaje lakin
Acha kabisa mkuu inabidi tupige mitaa tu humu jfKwa hiyo jino kwa jino hiyo, ila mnajuana nyie
Huku fresh kaupepo na baridi kwa mbali sasa sisi tulio pekee yetu tunawakat mgumu sana
Kitu cha kwanza nilichofanya ni kuserve avatar kabla haijabadilishwa

Heri hata umeonekana moyo umepiga paaaap.

Kitu cha kwanza nilichofanya ni kuserve avatar kabla haijabadilishwa![]()
![]()
![]()
uuuuwihMara pap...Maserati huyu hapaHeri hata umeonekana moyo umepiga paaaap.![]()

Mara paap nakutakia usiku mwema japo nashauku ya kuzungumza nawe mengi.Mara pap...Maserati huyu hapa![]()
![]()
![]()
![]()

Acha kabisa ngoja nikitoka lindo ni moja kwa moja wash room kupanda zangu mnazi kwa mguu mmoja![]()
![]()
![]()
![]()
uuuuwih

Mie mwenyeww mida mibovu hii. Usiku mwemaMara paap nakutakia usiku mwema japo nashauku ya kuzungumza nawe mengi.![]()
![]()
![]()
Weeweeeee shauri ako... Utashindwa kupanda kwa miguu miwiliAcha kabisa ngoja nikitoka lindo ni moja kwa moja wash room kupanda zangu mnazi kwa mguu mmoja![]()
![]()
Aigoo... Yatakua mambo ya kupalilia huba hayaMie mwenyeww mida mibovu hii. Usiku mwema
Baki basi utupe kampany ya kidada mwasitiWeeweeeee shauri ako... Utashindwa kupanda kwa miguu miwili
kupanda kwa mguu mmoja kuna raha yake bhana
