Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Wapi tena kulikoni
Wapi tena kulikoni
Niambie jirani yanguJirani
Ni mimi ndio, kutesa kwa zamu, mbona wewe jana ulitukimbia jumla kisa mchepuko si bora hata mimi nimekiri nitarudiHivi ni wewe![]()
![]()
![]()
![]()

Naona unataka kunikimbiaNiambie jirani yangu
See you baadae jiraniNaona unataka kunikimbia
Ntarudi bestAaah rudi mrembo bila wewe tutalala hapa
great thinker



01:07.![]()
alikuja sa ngapi?
CaptainCaptain
Aisee fanya mpango basi wa hata ka-audio na mimi nipate stimu za kuwahi mchepuko wangu hapa wash roomVumilia tuu hakuna namna

Aisee habar yako kamandaCaptain
Kwema kabisa captain kanariJaman kwema humu wandugu
Jirani unanitesa kwa wivu maana inabidi nipige chabo tuSee you baadae jirani
Naona mnapeana kampani ya jirani mwenzioKwema kabisa captain kanari

Jirani si poa kabisa. Natia chabo tuNi mimi ndio, kutesa kwa zamu, mbona wewe jana ulitukimbia jumla kisa mchepuko si bora hata mimi nimekiri nitarudi![]()
Humu kwema tu vipi club huko frshJaman kwema humu wandugu
Father mtoto huku heri kabisaAisee habar yako kamanda
Aisee,sipo club kamanda nipo home tuHumu kwema tu vipi club huko frsh
great thinker
Jirani leo kanikimbia kisa jana nilimkimbia aisee.Naona mnapeana kampani ya jirani mwenzio![]()