Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
That's my jirani, yaan huwa hupendi kuniangushaKipenzi jirani
That's my jirani, yaan huwa hupendi kuniangushaKipenzi jirani
Siwezi kuja kwa kweliKichwa kichafu, ipogolo, alibakar, youngblood No escape mkujeee

Mmmh. Hivi bado vipo hivo vitu? Zamani sana kuvisikia,kind zime cease hivi au ni kupoteza umaarufu?Nipo hpa travetine nawaangalia zanzibar stars na east african melody..! Aliyendani ya ukumbi tufahamiane...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina rafiki yangu ana mke mzuri kama malaika, yeah nakiri ni mzuri sana....lakini ana roho mbaya kuliko shetani. Hiyo roho aliionesha baada ya ndoa! Ndoa yenyewe ya kikristo.Hiloo la msingi sana...ila Mungu katupa akili...
Kuna mtu anatafuta demu kwa sababu kashikwa na migenye siku nyingi...mwingine kwa sababu rasmi amesema natafuta mke...mwingine for show of...hao wote ni rahisi kukutwa na hayo
Your real love ...lazima kwanza awe alishakuwa rafiki yako...hata kama alikuomba no kwenye daladala...kabla hata ya kuingia deep in rltshp you shld yet ve started learning how to miss each other
carnte himself
Okey sawa, umekaa upande gani?Nipo hpa travetine nawaangalia zanzibar stars na east african melody..! Aliyendani ya ukumbi tufahamiane...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgomo jotoLeo wamegoma aiseeh
Aisee ata mm naona jiran yako kawa kuku leo
kichwa kichafu![]()
Amina nna experience na hilo ...samahani.."hivi wanawake warembo kwa muonekano there there not for marriage au.."Nina rafiki yangu ana mke mzuri kama malaika, yeah nakiri ni mzuri sana....lakini ana roho mbaya kuliko shetani. Hiyo roho aliionesha baada ya ndoa! Ndoa yenyewe ya kikristo.
Hakuna ujanja katika hilo,mwombe Mungu akuongoze kumpata mbora wako.
Niupatie wapi jirani.
Itakuwa kapata mchepuko sio kawaida yake hii

Karibu mkuuhabari za usiku huu, leo na mm muhanga wa kukesha, natumaini siko peke angu tupeane kampan ya kuukata huu usiku
Ha ha haa yeye keshapotea mii ngoja ntoke kidogo baadae kidogo![]()
![]()
![]()
Kuku leo tutawaona
Karibu mkuu
Fanya hivyo waone hukutoa pesa yako sadaka ha ha





Wanaolewa sana tu!Amina nna experience na hilo ...samahani.."hivi wanawake warembo kwa muonekano there there not for marriage au.."
carnte himself
Jirani moyo unabubujika furaha kukuonaTupoooo
Acha utani wako ha ha haaaa
Ngoja nitafute kibwebwe nifunge kiunoni siunajua wengine bila material support viuno havizunguki![]()
Huku mchafukogeOkey sawa, umekaa upande gani?
...sikuwa na pesa ya kuingia vip mkuu...Kwa sababu upendo wangu kwako hauna kifani.That's my jirani, yaan huwa hupendi kuniangusha