Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Sikio tu lanikosesha raha ya Christmas
Sikio tu lanikosesha raha ya Christmas
Pole Sana..Yesu wetu akuponye.Sikio tu lanikosesha raha ya Christmas
Amen ngoja nisubirie miujiza yake
Hahaha! AsanteAsante dingimtoto nawe pia.
Karibu lindoni
HahahahahaKwa hapo inawezekana kweli au si kweli wengine wapo nantumbo tu hapo ila wana jimwambafai
Wako bizeMbona tupo ila hamchati
Mbona tupo ila hamchati
Leo Askari naona tupo wa3/4 hiviWako bize
2017 modelAta sijui kwanini leo imekua hvi..Leo Askari naona tupo wa3/4 hivi
Watu wamevimbewa na pilau la xmas
Sent using my Audi A62017 model
Hadi usingiz unakuja ety..?Cha ajabu watu hawachati
Kuna kula, kuliwa, na kukulanaLeo Askari naona tupo wa3/4 hivi
Watu wamevimbewa na pilau la xmas
Sent using my Audi A62017 model
Mm hata hauji ila ntauforce ujeHadi usingiz unakuja ety..?